USALAMA WA TAARIFA BINAFSI KATIKA MITANDAO.
ZILIZOHIFADHIWA KWENYE MEMORY, FLASH, COMPUTER, TABLET, NA VIFAA VINGINEVYO. TAARIFA ZINAWEZA KUIBIWA BILA WEWE KUJUA
PERSONAL INFORMATION PROTECTION
DOWNLOAD
document type.......Microsoft word doc x
imetafsiriwa kiswahili
taarifa binafsi za mtu ni bora zaidi kuliko kifaa kinachotunza taarifa hizo, data zilizo kwenye computer au tablet ni thamani zaidi kuliko kifaa chenyewe kinachotunza hii ikijumuisha taarifa za siri, barua za kazi, vyeti, taarifa za kibiashara na zinginezo. je itakuwaje zikisambaa kwa watu wengine??. je wafahamu namna ya kulinda data zako unapokua kwenye mtandao ??? je unadhani upo salama unapokuwa kwenye internate ?? je huamini kua computer yako inaweza kuonwa na mwingine bila wewe kujua ??? je hauamini kuwa computer yako inaweza shambuliwa mda wowote ????je mara ngapi umekuwa ukitoa taarifa zako kwenye kurasa mbalimbali za mitandao kama vile jina,umri,makazi,account namba,password,kadi ya benki, je wafahamu taarifa zako zinakwenda wapi ?? je data zako zitakua salama ??? antivirus software inaweza kuwa ni virus, je ni antivurus ipi ni sahihi.
FREE RECOMMENDED VIRUS MONITORING SOFTWARE
Chapisha Maoni